15 Daudi akamjibu, “Je, wewe si mwanamume? Nani aliye sawa nawe katika Israeli? Mbona basi, hukumlinda bwana wako mfalme? Mtu mmoja wetu aliingia hapo kumwangamiza bwana wako mfalme!
Kusoma sura kamili 1 Samueli 26
Mtazamo 1 Samueli 26:15 katika mazingira