1 Samueli 26:20 BHN

20 Usiniache nife katika nchi ya kigeni, mbali na Mwenyezi-Mungu. Kwa nini wewe mfalme wa Israeli umetoka kuyatafuta maisha yangu kama mtu anayewinda kware milimani?”

Kusoma sura kamili 1 Samueli 26

Mtazamo 1 Samueli 26:20 katika mazingira