1 Samueli 26:23 BHN

23 Mwenyezi-Mungu humtunza kila mtu kwa uadilifu na uaminifu wake. Leo Mwenyezi-Mungu alikutia mikononi mwangu, lakini mimi sikunyosha mkono wangu dhidi yako kwa kuwa wewe umeteuliwa naye kwa kutiwa mafuta.

Kusoma sura kamili 1 Samueli 26

Mtazamo 1 Samueli 26:23 katika mazingira