1 Samueli 26:24 BHN

24 Tazama kama vile leo maisha yako yalivyokuwa na thamani mbele yangu, ndivyo na maisha yangu yawe na thamani mbele ya Mwenyezi-Mungu; naye akaniokoe kutoka kwenye taabu zote.”

Kusoma sura kamili 1 Samueli 26

Mtazamo 1 Samueli 26:24 katika mazingira