25 Shauli akamwambia Daudi, “Mungu na akubariki mwanangu Daudi. Utafanya mambo makuu, nawe utafanikiwa katika yote.” Basi, Daudi akaenda zake; Shauli naye akarudi nyumbani kwake.
Kusoma sura kamili 1 Samueli 26
Mtazamo 1 Samueli 26:25 katika mazingira