1 Samueli 27:10 BHN

10 Akishi alipomwuliza, “Leo mashambulizi yako yalikuwa dhidi ya nani?” Daudi alimwambia, “Dhidi ya Negebu ya Yuda” au “Dhidi ya Negebu ya Wayerameeli” au “Dhidi ya Negebu ya Wakeni.”

Kusoma sura kamili 1 Samueli 27

Mtazamo 1 Samueli 27:10 katika mazingira