9 Daudi aliipiga nchi hiyo asimwache hai mtu yeyote, awe mwanamume au mwanamke, akateka kondoo, ng'ombe, punda, ngamia na mavazi; kisha akarudi na kufika kwa Akishi.
Kusoma sura kamili 1 Samueli 27
Mtazamo 1 Samueli 27:9 katika mazingira