8 Katika muda huo, Daudi na watu wake waliwashambulia Wageshuri, Wagirizi na Waamaleki, ambao walikuwa wenyeji wa nchi hiyo tangu zamani. Aliwashambulia katika nchi yao mpaka Shuri, mpakani na Misri.
Kusoma sura kamili 1 Samueli 27
Mtazamo 1 Samueli 27:8 katika mazingira