1 Samueli 28:10 BHN

10 Shauli akamwapia kwa jina la Mwenyezi-Mungu, akisema, “Naapa kwa Mwenyezi-Mungu aliye hai, kwamba hakuna adhabu yoyote itakayokupata kutokana na jambo hili.”

Kusoma sura kamili 1 Samueli 28

Mtazamo 1 Samueli 28:10 katika mazingira