1 Samueli 28:9 BHN

9 Yule mwanamke akamwambia, “Wewe unajua kwa hakika kuwa mfalme Shauli amewaangamiza kabisa watabiri na wachawi wote katika nchi ya Israeli. Sasa kwa nini unaniwekea mtego wa kuninasa na kuniua?”

Kusoma sura kamili 1 Samueli 28

Mtazamo 1 Samueli 28:9 katika mazingira