1 Samueli 28:8 BHN

8 Basi, Shauli akajigeuza na kuvaa mavazi mengine, akaenda huko pamoja na watu wake wawili. Walifika kwa huyo mwanamke usiku, akamwambia, “Nitabirie kwa pepo, umlete duniani yeyote nitakayekutajia.”

Kusoma sura kamili 1 Samueli 28

Mtazamo 1 Samueli 28:8 katika mazingira