1 Samueli 28:7 BHN

7 Ndipo Shauli akawaambia watumishi wake, “Nitafutieni mwanamke ambaye anaweza kutabiri ili nimwendee na kumtaka shauri.” Watumishi wake wakamjibu, “Yuko mtabiri mmoja huko Endori.”

Kusoma sura kamili 1 Samueli 28

Mtazamo 1 Samueli 28:7 katika mazingira