1 Samueli 28:17 BHN

17 Mwenyezi-Mungu amekutendea kile alichokuambia kwa njia yangu. Mwenyezi-Mungu ameurarua ufalme kutoka mikononi mwako, na amempa Daudi jirani yako.

Kusoma sura kamili 1 Samueli 28

Mtazamo 1 Samueli 28:17 katika mazingira