18 Maana, wewe hukuitii sauti ya Mwenyezi-Mungu, wala hukuitekeleza ghadhabu yake dhidi ya Waamaleki. Ndio maana leo Mwenyezi-Mungu amekutendea mambo haya.
Kusoma sura kamili 1 Samueli 28
Mtazamo 1 Samueli 28:18 katika mazingira