1 Samueli 28:19 BHN

19 Zaidi ya hayo, Mwenyezi-Mungu atakutia wewe pamoja na Waisraeli wote mikononi mwa Wafilisti. Kesho, wewe na wanao mtakuwa pamoja nami; hata jeshi la Israeli Mwenyezi-Mungu atalitia mikononi mwa Wafilisti.”

Kusoma sura kamili 1 Samueli 28

Mtazamo 1 Samueli 28:19 katika mazingira