1 Samueli 28:20 BHN

20 Ghafla, Shauli akiwa na hofu kutokana na maneno ya Samueli, alianguka kifudifudi; hakuwa na nguvu zozote; kwa kuwa alikuwa hajala chochote kwa siku nzima, usiku na mchana.

Kusoma sura kamili 1 Samueli 28

Mtazamo 1 Samueli 28:20 katika mazingira