1 Samueli 28:21 BHN

21 Ndipo yule mwanamke alipomwendea Shauli, na alipoona kuwa Shauli ameshikwa na hofu mno, alimwambia, “Mimi mtumishi wako nimehatarisha maisha yangu kwa kufanya kile ulichoniambia nikufanyie.

Kusoma sura kamili 1 Samueli 28

Mtazamo 1 Samueli 28:21 katika mazingira