8 Daudi akamwambia Akishi, “Lakini nimefanya nini? Kama unavyosema kuwa, hujaniona na kosa lolote tangu siku ile nilipoanza kukutumikia hadi leo, kwa nini nisiende kupigana na maadui za bwana wangu, mfalme?”
Kusoma sura kamili 1 Samueli 29
Mtazamo 1 Samueli 29:8 katika mazingira