1 Samueli 29:9 BHN

9 Akishi akamwambia, “Najua kuwa huna lawama mbele yangu kama malaika wa Mungu. Hata hivyo, makamanda wa Wafilisti wamesema, ‘Kamwe asiende pamoja nasi vitani’.

Kusoma sura kamili 1 Samueli 29

Mtazamo 1 Samueli 29:9 katika mazingira