1 Samueli 3:17 BHN

17 Eli akamwuliza, “Je, Mwenyezi-Mungu alikuambia nini? Usinifiche alichokuambia. Ikiwa utanificha alichokuambia, Mungu atakuadhibu vikali.”

Kusoma sura kamili 1 Samueli 3

Mtazamo 1 Samueli 3:17 katika mazingira