1 Samueli 3:18 BHN

18 Basi, Samueli akamweleza Eli yote aliyoambiwa, bila kumficha chochote. Ndipo Eli akasema, “Yeye ni Mwenyezi-Mungu; na afanye anachoona ni chema kwake.”

Kusoma sura kamili 1 Samueli 3

Mtazamo 1 Samueli 3:18 katika mazingira