1 Samueli 3:5 BHN

5 Kisha Samueli akamwendea Eli kwa haraka, akamwambia, “Nimekuja kwani umeniita.” Lakini Eli akamwambia, “Mimi sijakuita. Nenda ukalale.” Samueli akarudi na kulala.

Kusoma sura kamili 1 Samueli 3

Mtazamo 1 Samueli 3:5 katika mazingira