6 Mwenyezi-Mungu akamwita tena, “Samueli!” Samueli akaamka, akamwendea Eli na kumwambia, “Nimekuja, kwani umeniita.” Lakini Eli akamwambia, “Sikukuita mwanangu, kalale tena.”
Kusoma sura kamili 1 Samueli 3
Mtazamo 1 Samueli 3:6 katika mazingira