1 Samueli 30:10 BHN

10 Lakini Daudi aliendelea kulifuatilia lile genge akiwa na watu 400, watu 200 wakabaki hapo kwani walichoka mno, wasiweze kuvuka kijito hicho.

Kusoma sura kamili 1 Samueli 30

Mtazamo 1 Samueli 30:10 katika mazingira