1 Samueli 30:9 BHN

9 Kwa hiyo, Daudi akaondoka pamoja na wale watu 600 aliokuwa nao. Walipofika kwenye kijito cha Besori, wakawakuta baadhi ya watu waliotekwa wameachwa hapo.

Kusoma sura kamili 1 Samueli 30

Mtazamo 1 Samueli 30:9 katika mazingira