8 Daudi akamwomba Mwenyezi-Mungu shauri, “Je, genge hili nilifuate? Na je nitalikamata?” Mwenyezi-Mungu akamjibu, “Lifuate kwani utalipata na kuwaokoa hao waliotekwa.”
Kusoma sura kamili 1 Samueli 30
Mtazamo 1 Samueli 30:8 katika mazingira