1 Samueli 30:12 BHN

12 Pia walimpa kipande cha mkate wa tini na vishada viwili vya zabibu kavu. Alipomaliza kula, akapata nguvu, kwani alikuwa hajala wala kunywa kitu chochote kwa muda wa siku tatu, mchana na usiku.

Kusoma sura kamili 1 Samueli 30

Mtazamo 1 Samueli 30:12 katika mazingira