1 Samueli 30:13 BHN

13 Daudi akamwuliza, “Bwana wako ni nani? Na umetoka wapi?” Yeye akamwambia, “Mimi ni kijana Mmisri. Ni mtumishi wa Mmaleki mmoja. Bwana wangu aliniacha nyuma siku tatu zilizopita kwa kuwa nilikuwa mgonjwa.

Kusoma sura kamili 1 Samueli 30

Mtazamo 1 Samueli 30:13 katika mazingira