1 Samueli 30:14 BHN

14 Sisi tulishambulia sehemu ya jangwa wanamoishi Wakerethi, eneo la Yuda pamoja na sehemu ya jangwa unakoishi ukoo wa Kalebu, tukauteketeza kwa moto mji wa Siklagi.”

Kusoma sura kamili 1 Samueli 30

Mtazamo 1 Samueli 30:14 katika mazingira