15 Daudi akamwuliza, “Je, utaweza kunipeleka kwenye genge hilo?” Kijana akamjibu, “Ikiwa utaniapia kwa jina la Mungu kuwa hutaniua, wala kunitia mikononi mwa bwana wangu, nitakupeleka.”
Kusoma sura kamili 1 Samueli 30
Mtazamo 1 Samueli 30:15 katika mazingira