2 Walikuwa wameteka wanawake na watu wote waliokuwa mjini humo, wakubwa kwa wadogo. Hao waliowateka, waliondoka nao wakiwa hai, bila ya kumwua mtu yeyote.
Kusoma sura kamili 1 Samueli 30
Mtazamo 1 Samueli 30:2 katika mazingira