1 Samueli 30:24 BHN

24 Hakuna mtu atakayekubaliana na mawazo yenu! Yule aliyekwenda vitani na yule aliyebaki na mizigo yetu, kila mtu atapewa sehemu inayolingana na mwenzake.”

Kusoma sura kamili 1 Samueli 30

Mtazamo 1 Samueli 30:24 katika mazingira