1 Samueli 30:23 BHN

23 Daudi akawaambia, “Sivyo ndugu zangu. Hamwezi kufanya hivyo kwa kile ambacho Mwenyezi-Mungu ametupa. Alitulinda salama, na akalitia mikononi mwetu genge lililokuja kutushambulia.

Kusoma sura kamili 1 Samueli 30

Mtazamo 1 Samueli 30:23 katika mazingira