1 Samueli 30:5 BHN

5 Wake wawili wa Daudi, Ahinoamu kutoka Yezreeli na Abigaili mjane wa Nabali, nao pia walikuwa wamechukuliwa mateka.

Kusoma sura kamili 1 Samueli 30

Mtazamo 1 Samueli 30:5 katika mazingira