1 Samueli 31:10 BHN

10 Zile silaha zake waliziweka nyumbani mwa Maashtarothi; kisha wakautundika mwili wake kwenye ukuta wa mji wa Beth-sheani.

Kusoma sura kamili 1 Samueli 31

Mtazamo 1 Samueli 31:10 katika mazingira