1 Samueli 31:9 BHN

9 Walikata kichwa cha Shauli na kumvua silaha zake; halafu waliwatuma wajumbe katika nchi yao yote ya Filistia kutangaza habari njema nyumbani mwa sanamu zao na kwa watu.

Kusoma sura kamili 1 Samueli 31

Mtazamo 1 Samueli 31:9 katika mazingira