8 Kesho yake, Wafilisti walipokwenda kuwateka nyara hao waliouawa walizikuta maiti za Shauli na wanawe mlimani Gilboa.
Kusoma sura kamili 1 Samueli 31
Mtazamo 1 Samueli 31:8 katika mazingira