1 Samueli 4:10 BHN

10 Wafilisti walipiga vita, na Waisraeli walishindwa na kukimbia kila mtu nyumbani kwake. Siku hiyo kulikuwa na mauaji makubwa kwani askari wa miguu 30,000 wa Israeli waliuawa.

Kusoma sura kamili 1 Samueli 4

Mtazamo 1 Samueli 4:10 katika mazingira