1 Samueli 4:9 BHN

9 Sasa, enyi Wafilisti, jipeni moyo. Muwe, hodari msije mkawa watumwa wa Waebrania kama wao walivyokuwa watumwa wetu. Muwe hodari kama wanaume na kupigana.”

Kusoma sura kamili 1 Samueli 4

Mtazamo 1 Samueli 4:9 katika mazingira