1 Samueli 4:14 BHN

14 Eli aliposikia sauti ya kilio, akauliza, “Kelele hizo ni za nini?” Yule mtu akaenda haraka kwa Eli ili kumpa habari hizo.

Kusoma sura kamili 1 Samueli 4

Mtazamo 1 Samueli 4:14 katika mazingira