1 Samueli 4:13 BHN

13 Eli, akiwa na wasiwasi moyoni kuhusu sanduku la Mungu, alikuwa ameketi kwenye kiti chake, kando ya barabara akiangalia. Yule mtu alipowasili mjini na kueleza habari hizo, mji mzima ulilia kwa sauti.

Kusoma sura kamili 1 Samueli 4

Mtazamo 1 Samueli 4:13 katika mazingira