1 Samueli 4:2 BHN

2 Wafilisti waliwashambulia Waisraeli, na baada ya mapigano makali, Waisraeli walishindwa. Waisraeli 4,000 waliuawa kwenye uwanja wa mapambano.

Kusoma sura kamili 1 Samueli 4

Mtazamo 1 Samueli 4:2 katika mazingira