1 Samueli 4:3 BHN

3 Wanajeshi walionusurika walipowasili kambini, wazee wa Israeli walisema, “Kwa nini Mwenyezi-Mungu amewaacha Wafilisti watushinde leo? Twendeni tukalilete sanduku la agano la Mwenyezi-Mungu kutoka Shilo, ili aweze kwenda nasi vitani na kutuokoa kutoka na zetu.”

Kusoma sura kamili 1 Samueli 4

Mtazamo 1 Samueli 4:3 katika mazingira