1 Samueli 4:20 BHN

20 Basi, alipokuwa anakufa, wanawake waliokuwa wanamsaidia walimwambia, “Usiogope, maana umejifungua mtoto wa kiume.” Lakini yeye hakujibu neno, wala hakuwasikiliza.

Kusoma sura kamili 1 Samueli 4

Mtazamo 1 Samueli 4:20 katika mazingira