1 Samueli 4:21 BHN

21 Naye akamwita mtoto wake Ikabodi, akimaanisha, “Utukufu wa Mungu umeondoka Israeli,” akiwa na maana kwamba sanduku la agano lilikuwa limetekwa, tena baba mkwe wake na mumewe, wote walifariki.

Kusoma sura kamili 1 Samueli 4

Mtazamo 1 Samueli 4:21 katika mazingira