5 Sanduku la agano la Mwenyezi-Mungu lilipofika kambini Waisraeli wote walishangilia kwa furaha, hata nchi yote ikatikisika.
Kusoma sura kamili 1 Samueli 4
Mtazamo 1 Samueli 4:5 katika mazingira