1 Samueli 4:6 BHN

6 Wafilisti waliposikia sauti hiyo ya furaha walisema “Kelele hizo zote kambini mwa Waebrania zina maana gani?” Walipojua kwamba sanduku la agano la Mwenyezi-Mungu lilikuwa limewasili kambini mwa Waisraeli,

Kusoma sura kamili 1 Samueli 4

Mtazamo 1 Samueli 4:6 katika mazingira