1 Samueli 4:7 BHN

7 Wafilisti waliogopa; wakasema, “Bila shaka, miungu imewasili kambini mwao! Ole wetu! Jambo kama hili halijawahi kutokea.

Kusoma sura kamili 1 Samueli 4

Mtazamo 1 Samueli 4:7 katika mazingira