13 Watu wa Beth-shemeshi walikuwa wanavuna ngano bondeni. Walipotazama juu na kuliona sanduku la Mwenyezi-Mungu, wakafurahi sana.
Kusoma sura kamili 1 Samueli 6
Mtazamo 1 Samueli 6:13 katika mazingira