1 Samueli 6:20 BHN

20 Kisha, wakazi wa mji wa Beth-shemeshi wakasema: “Nani awezaye kusimama mbele ya Mwenyezi-Mungu, huyu Mungu mtakatifu? Atakwenda kwa nani ili aondoke kwetu?”

Kusoma sura kamili 1 Samueli 6

Mtazamo 1 Samueli 6:20 katika mazingira